Elezea kama hivyo vitu alivyonyang'anywa vinaruhusiwa mahakamani. Usihirojoke na magongo yenu ya kutungaYaani mawakili wana mbwembwe wamempoteza dira shahidi sijui kama alielewa tena, baada ya ku nyanganywa kalamu yake na dairy pamoja na simu,: jamani haya yalimanisha nini, tuelezeeni haya maneno kwa upaana.
Shahidi sio competent and letter lacked competence, with no pre-liquisting tendering,
The document was not authenticate lacked unique features that is a mojor criteria of authotification, the letter had no factual expedition it was legal but not ego. Maamuzi yalikua critism and not permissive, huyu kibatali atafanya mashahidi kugoma kurudi akiendelea na hizo law jargons zake,
Ukute Yuko rumande muda huu.Ukweli hujitetea, uongo ni mzigo mzito! SAA hizi anatukanwa huko na akina Ustaadh Kingai
Kuutengeneza uongo mahakamani ni kaziNiliangalia series moja kama sijasahau ni Legal Boston, kuna sehemu mshtakiwa anamuuliza mwanasheria wake, sijui nitasema nini Mahakamani, jamaa akamuambia “Sema ukweli”
Possibly yes au in a long run "akapotea"Ukute Yuko rumande muda huu.
ego: ubora, thamani, maarufu, wa mfano, hizi zinaweza kuwa tafsiri za karibu kulingana na sentenso.Yaani mawakili wana mbwembwe wamempoteza dira shahidi sijui kama alielewa tena, baada ya ku nyanganywa kalamu yake na dairy pamoja na simu,: jamani haya yalimanisha nini, tuelezeeni haya maneno kwa upaana.
Shahidi sio competent and letter lacked competence, with no pre-liquisting tendering,
The document was not authenticate lacked unique features that is a mojor criteria of authotification, the letter had no factual expedition it was legal but not ego. Maamuzi yalikua critism and not permissive, huyu kibatali atafanya mashahidi kugoma kurudi akiendelea na hizo law jargons zake,
Wakati kesi inaanza kabla ya yeye kupanda kizimbani Profesa Jay alimuona shahidi yuko bize akifanya homuweki, Profesa Jay ikabidi amtonye Kibatala kuwa mjamaa ana dayari na yuko anamalizia tusheni, naye akasema nitampandia hukohuko kizimbani baada ya kiapo ili mmiliki wa shule, hedimasta Sirro na walimu wake wajue.Elezea kama hivyo vitu alivyonyang'anywa vinaruhusiwa mahakamani. Usihirojoke na magongo yenu ya kutunga
Huwa inawezekana, mawakili wanajua Namna yakuichezea sheria na kuharibu ushahidi ili mteja wako aondokane na hatua hata kama alikua na hatiaKuutengeneza uongo mahakamani ni kazi
Ndio ni lazima kwenda Kama ulishaahidi kwenda. Ukikataa kwenda mahakama inatoa amri ya kukamatwa.Terminology za kuombea rushwa na Terminology za kisheria ni ngumi sana kukidhi hitaji uliloelekezwa.
Hivi kwani kwenda kutoa ushahidi ni lazima?
Na wewe basi, tukutambue kwamba "UJUHA" ndio 'specialty' yako! Taifa haliwezi kamwe kukosa watu kama wewe, hilo litakuwa ni taifa la ajabu sana.Mboe ana dhambi kubwa sana Mbele ya Mungu na kwa watanzania wote.
1. miaka yote ya uenyekiti wake alikuwa akiwatengeneza vijana watukutu wenye tabia za kihalifu, kama vile; ujambazi, uzaji madawa, matusi, ukorofi wa kuto kutii sheria, kuto kuheshimu mamlaka n.k.
angalia alivyo wapotezea maisha kina Lingwenya, mohamedi, Halfani, Adam....huyo mdio mboe na mipango yake miovu.
kama isinge kuwa njama ovu za mboe leo hii hawa jamaa wasingekuwa wanateseka mahabusu mpaka leo....ila yote hayo ni tabia za kihalifu za mboe.
Pia ukiwachunguza baadhi ya wafuasi wa mboe utagundua kuwa hawana kabisa chembe ya uzalendo kwa nchi yao na hili ni kutokana na jinsi Mboe alivyo watengeneza kwa kuwapandikizia tabia za kihalifu kwa nchi yao.
hii ni dhambi kubwa aliyo ifanya mwenyekiti mboe kwa wafuasi wake.
namshauri wafuasi wa mboe mboe wabadilike.
Tanzania ni nchi yetu sote na itaendelea kuwepo hata kama mboe hayupo hivyo ni lazima tuipende na kuilindi nchi yetu.