Hauna wakili anayekusimamia katika kesi yako?kama uko naye mjulishe atajua chakufanya.
Japo sijajua ushahidi ambao uko nao ni wa aina gani(Voicenote,Video au nyaraka),,japo kama unahika juu ya uhalali na ukweli wa taarifa au ushahidi wako siku ya kurudi mahakamani kabla kesi haijaendelea unaweza kuomba Hakimu/Jaji akupe nafasi ya kuongea (sina uhakika na hatua ambayo kesi yako imefikia ila na amini bado haijafika kipindi cha hukumu)