Shahada ya uzamivu (PhD) ya Mwakyembe si halali?

MTENDAHAKI

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
4,013
Reaction score
1,448
Kutokana na nukuu zinazoendelea kutolewa na wachambuzi mbalimbali (Hapa namuongelea Lissu) katika mchakato wa katiba mpya, imethibitisha pasipo shaka kuwa Mh. Dr. Mwakyembe anakikana kile alichokiandika miaka ya Tisini ili kupata udaktari wa falsafa (PhD).

Katika kitabu chake alinukuliwa akisema kuwa muundo wa muungano wa Tanzania ni shirikisho pasipo na shaka, na kuthibitisha kuwa migogoro itamalizwa kwa kuwa na serikali tatu! Ni kwa hoja zake hizo aliweza kutunukiwa shahada ya uzamivu (PhD). Sasa kwa kuwa anazikana hoja hizo maana yake ni kuwa alipotosha watu katika utafiti wake!

Aidha aliegemea upande ambao alikuwa anautaka (bias) au aliamua kufuata wengine walisemaje!Sasa kwa kuwa hata yeye hauamini utafiti wake je sio haki yake kuondolewa udaktari wake!?

Prof. Shivji nae ameyakana maandiko yake ya miaka ya 90, ambayo mengine aliyatumia kupanda cheo mpaka kuwa profesor, je nae sio haki yake ashushwe cheo hicho?

Nawasilisha.
 
kutokana na nukuu zinazoendelea kutolewa na wachambuzi mbalimbali (Hapa namuongelea LISU) katika mchakato wa katiba mpya, imethibitisha pasipo shaka kuwa Mh. Dr. Mwakyembe anakikana kile alichokiandika miaka ya Tisini ili kupata udaktari wa falsafa (PhD). Katika kitabu chake alinukuliwa akisema kuwa muundo wa muungano wa Tanzania ni shirikisho pasipo na shaka, na kuthibitisha kuwa migogoro itamalizwa kwa kuwa na serikali tatu! Ni kwa hoja zake hizo aliweza kutunukiwa shahada ya uzamivu (PhD). Sasa kwa kuwa anazikana hoja hizo maana yake ni kuwa alipotosha watu katika utafiti wake!Aidha aliegemea upande ambao alikuwa anautaka (bias) au aliamua kufuata wengine walisemaje!Sasa kwa kuwa hata yeye hauamini utafiti wake je sio haki yake kuondolewa udaktari wake!?
Prof. shivji nae ameyakana maandiko yake ya miaka ya 90, ambayo mengine aliyatumia kupanda cheo mpaka kuwa profesor, je nae sio haki yake ashushwe cheo hicho?
Nawasilisha

Je nyakati tofauti haziwezi kumfanya mtu kuwa na mitizamo tofauti? Najiuliza tu.
 
mtazamo tofauti kwenye utafiti unaruhusiwa na unaweza kuukanusha utafiti wa awali!Lakini mwakyembe hajafanya hivyo!
 
Mleta uzi, jibu ni hili! Ukiisha ingia ccm akili unatakiwa uwe unaziacha nyumbani, ukiwa kwenye vikao, mikutano yao (hata ya kampeni za uchaguzi) unatakiwa uwe kichwa box, ukinunuliwa ndio kabisa! Sorry, nimekumbuka neno moja kwenye Biblia, "Mwanangu, usitoe rushwa kwakua rushwa hupofusha macho ya wenye akili" But pia naomba nikubaliane na wewe, waheshimiwa hawa, H. MWakyembe na Issa Shivji (sijatumia majina ya vyeti vyao makusudi) wanatakiwa kuja hadharani na kutoa clarrifications ya kile walicho kiandika cause kuna watu walifanya reference kupitia vitabu vyao na wakafauru mitihani na hata wenyewe pia walibadiri majina ya vyeti vyao kupitia maandishi hayo hayo.
 
Kutokana na nukuu zinazoendelea kutolewa na wachambuzi mbalimbali (Hapa namuongelea Lissu) katika mchakato wa katiba mpya, imethibitisha pasipo shaka kuwa Mh. Dr. Mwakyembe anakikana kile alichokiandika miaka ya Tisini ili kupata udaktari wa falsafa (PhD).

Katika kitabu chake alinukuliwa akisema kuwa muundo wa muungano wa Tanzania ni shirikisho pasipo na shaka, na kuthibitisha kuwa migogoro itamalizwa kwa kuwa na serikali tatu! Ni kwa hoja zake hizo aliweza kutunukiwa shahada ya uzamivu (PhD). Sasa kwa kuwa anazikana hoja hizo maana yake ni kuwa alipotosha watu katika utafiti wake!

Aidha aliegemea upande ambao alikuwa anautaka (bias) au aliamua kufuata wengine walisemaje!Sasa kwa kuwa hata yeye hauamini utafiti wake je sio haki yake kuondolewa udaktari wake!?

Prof. Shivji nae ameyakana maandiko yake ya miaka ya 90, ambayo mengine aliyatumia kupanda cheo mpaka kuwa profesor, je nae sio haki yake ashushwe cheo hicho?

Nawasilisha.

Uko sahihi kabisa hili swala likipelekwa kwenye chuo alichosoma seriously speaking watamnyang'anya hiyo award,so let us keep our fingures crossed kwamba haitapelekwa otherwise ni shida
 
Kutokana na nukuu zinazoendelea kutolewa na wachambuzi mbalimbali (Hapa namuongelea Lissu) katika mchakato wa katiba mpya, imethibitisha pasipo shaka kuwa Mh. Dr. Mwakyembe anakikana kile alichokiandika miaka ya Tisini ili kupata udaktari wa falsafa (PhD).

Katika kitabu chake alinukuliwa akisema kuwa muundo wa muungano wa Tanzania ni shirikisho pasipo na shaka, na kuthibitisha kuwa migogoro itamalizwa kwa kuwa na serikali tatu! Ni kwa hoja zake hizo aliweza kutunukiwa shahada ya uzamivu (PhD). Sasa kwa kuwa anazikana hoja hizo maana yake ni kuwa alipotosha watu katika utafiti wake!

Aidha aliegemea upande ambao alikuwa anautaka (bias) au aliamua kufuata wengine walisemaje!Sasa kwa kuwa hata yeye hauamini utafiti wake je sio haki yake kuondolewa udaktari wake!?

Prof. Shivji nae ameyakana maandiko yake ya miaka ya 90, ambayo mengine aliyatumia kupanda cheo mpaka kuwa profesor, je nae sio haki yake ashushwe cheo hicho?

Nawasilisha.

Wanalinda ile kitu inaitwa 'stustus quo' ili wasipoteze heshima zao CCM

Kuwa na viongozi waoga kama hawa ni hatari, ni wanafki ikija Tanganyika ni vema tukawaweka kando, bora Lembeli wa Kahama
 
Wanafiki wapika majungu hamjambo, endelee kuleta mada za kinafiki hapa ili muweze kuganga njaa. Unaposema PHD ya Dk.mwakyembe ni feki baba yako au wewe unayo, acheni unafiki wa kinjaa njaa, Dk.Mwakyembe ni kichwa.Unafiki wenu hauna maana. Kwanza lzm mtumie akili, Dk.Mwakyembe hayasema lolote kuhusu maelezo ya mnafiki wa Chadema LISSU kwa hiyo mnamhukumu Mwakyembe tu kabla yeye hayajibu kitu. Wajinga kweli. Bahati mbaya mnaochangia humu wote asilimi 98 ni mi-Chadema.
 
Wanaposha jamii, ni muda sasa wakanushe vitabu vyao walivyoandika awali.
 
Wanafiki wapika majungu hamjambo, endelee kuleta mada za kinafiki hapa ili muweze kuganga njaa. Unaposema PHD ya Dk.mwakyembe ni feki baba yako au wewe unayo, acheni unafiki wa kinjaa njaa, Dk.Mwakyembe ni kichwa.Unafiki wenu hauna maana. Kwanza lzm mtumie akili, Dk.Mwakyembe hayasema lolote kuhusu maelezo ya mnafiki wa Chadema LISSU kwa hiyo mnamhukumu Mwakyembe tu kabla yeye hayajibu kitu. Wajinga kweli. Bahati mbaya mnaochangia humu wote asilimi 98 ni mi-Chadema.

Mkuu umekurupuka sana na kuonyesha ujinga wako ni bora ungekaa kimya kama hujaelewa mada. na hao baba za watu unawatukana kwani wewe huna. Tuache ujinga wa kutukuna watu kisa tu hujaelewa anaongelea nini.
 
Kutokana na nukuu zinazoendelea kutolewa na wachambuzi mbalimbali (Hapa namuongelea Lissu) katika mchakato wa katiba mpya, imethibitisha pasipo shaka kuwa Mh. Dr. Mwakyembe anakikana kile alichokiandika miaka ya Tisini ili kupata udaktari wa falsafa (PhD).

Katika kitabu chake alinukuliwa akisema kuwa muundo wa muungano wa Tanzania ni shirikisho pasipo na shaka, na kuthibitisha kuwa migogoro itamalizwa kwa kuwa na serikali tatu! Ni kwa hoja zake hizo aliweza kutunukiwa shahada ya uzamivu (PhD). Sasa kwa kuwa anazikana hoja hizo maana yake ni kuwa alipotosha watu katika utafiti wake!

Aidha aliegemea upande ambao alikuwa anautaka (bias) au aliamua kufuata wengine walisemaje!Sasa kwa kuwa hata yeye hauamini utafiti wake je sio haki yake kuondolewa udaktari wake!?

Prof. Shivji nae ameyakana maandiko yake ya miaka ya 90, ambayo mengine aliyatumia kupanda cheo mpaka kuwa profesor, je nae sio haki yake ashushwe cheo hicho?

Nawasilisha.
ukweli unauma sana, ni sawa na wewe kuitwa MSUKULE WA MZEE MTEI. kazi unayo
 
Wanafiki wapika majungu hamjambo, endelee kuleta mada za kinafiki hapa ili muweze kuganga njaa. Unaposema PHD ya Dk.mwakyembe ni feki baba yako au wewe unayo, acheni unafiki wa kinjaa njaa, Dk.Mwakyembe ni kichwa.Unafiki wenu hauna maana. Kwanza lzm mtumie akili, Dk.Mwakyembe hayasema lolote kuhusu maelezo ya mnafiki wa Chadema LISSU kwa hiyo mnamhukumu Mwakyembe tu kabla yeye hayajibu kitu. Wajinga kweli. Bahati mbaya mnaochangia humu wote asilimi 98 ni mi-Chadema.

Du kweli jamaa kakurupuka sijui alikuwa amelala,au anahusika moja kwa moja na mwakyembe,watu hapa wanabishana kwa hoja sio matusi,na ukiona mtu anaanza kutumia lugha za matusi au vitisho ujue tayari keshazidiwa,nadhani kuna umuhimu mkubwa sana kwa ndugu za mjitahidi muwe mnasoma vitabu,vitu vyote hivi viko wazi kabisa,what we need here is just to streach our brains a little bit
Nakuachia uamue kumeza au kutema
 
Mleta uzi, jibu ni hili! Ukiisha ingia ccm akili unatakiwa uwe unaziacha nyumbani, ukiwa kwenye vikao, mikutano yao (hata ya kampeni za uchaguzi) unatakiwa uwe kichwa box, ukinunuliwa ndio kabisa! Sorry, nimekumbuka neno moja kwenye Biblia, "Mwanangu, usitoe rushwa kwakua rushwa hupofusha macho ya wenye akili" But pia naomba nikubaliane na wewe, waheshimiwa hawa, H. MWakyembe na Issa Shivji (sijatumia majina ya vyeti vyao makusudi) wanatakiwa kuja hadharani na kutoa clarrifications ya kile walicho kiandika cause kuna watu walifanya reference kupitia vitabu vyao na wakafauru mitihani na hata wenyewe pia walibadiri majina ya vyeti vyao kupitia maandishi hayo hayo.

rushwa inaharibu akili!
 
Hii mada ni ya kipuuzi

kawaida mwendawazimu huwa anaamini kuwa wengine ndo vichaa kama ulivyo wewe. Ungekuwa umeenda shule na kuelewa maana halisi ya research ungejibu walau kwa kuelewa. Hata kuku ukimvika suti atakushangaa na ndiyo maana unaona hii mada ni ya kipuuzi. Always a choice of illiterate is all.
 
Kwa hiyo kama hana PhD hawezi kusema habari za wenye PhD? Acha mawazo potofu. Ukiwa ndani ya sisi M huwezi kupinga mpaka ujitoe. Hebu funguka tusubiri ajitokeze.
 
njaa noma,polonium 210 bado ipo kwenye ubongo wa mwakyembe..
 
Wanafiki wapika majungu hamjambo, endelee kuleta mada za kinafiki hapa ili muweze kuganga njaa. Unaposema PHD ya Dk.mwakyembe ni feki baba yako au wewe unayo, acheni unafiki wa kinjaa njaa, Dk.Mwakyembe ni kichwa.Unafiki wenu hauna maana. Kwanza lzm mtumie akili, Dk.Mwakyembe hayasema lolote kuhusu maelezo ya mnafiki wa Chadema LISSU kwa hiyo mnamhukumu Mwakyembe tu kabla yeye hayajibu kitu. Wajinga kweli. Bahati mbaya mnaochangia humu wote asilimi 98 ni mi-Chadema.

We ni m.pu.mbavu number 1. Mwakyembe ajibu nini sasa wakati Lissu ametaja hadi page number ya alipoandika Mwaki mwenyewe.? Unataka mh. Mwakyembe akane kuwa kitabu si chake? Yaani wewe ndio mh sijui nisemaje lol!
 
Back
Top Bottom