Shahada 4 vs. Akili ya kuzaliwa

Kwanza hujui maana ya elimu , kwenye huu uzi unamaanisha elimu ni darasani pekee kitu ambacho si sahihi
Educational great thinkers wanaigawanya elimi sehemu 3
1. Formal education eg shule, vyuon
2. Informal education eg semina mbalimbali Kama za ujasiriamali etc
3. Non formal education ni elimu ambayo mtu anaipata wakati anainteract na mazingira yake kazin, nyumban etc

##Kwa hiyo hao uliowataja wametumia elimu ila siyo formal education ##
 
Education is what remains after one has forgotten what one has learned in school.”
 
Namfikiria Mwanangu asivyosoma sasa sijui atakuwaje akisoma madarasa
 
Kusema kwamba Mark Zukerberg na akili sana ndiyo maana amefanikiwa sidhani kama ni kuna ukweli. Kuna wengi walikuwa wameanzisha social media kabla yake. Mwandishi naye amejichanga. Hakuna uhusiano wowte kati ya akili na kufanikiwa kimaisha au kufanikiwa kibiashara.
 
Okay
 
Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani.

Hapa aidha umekosea kumnukuu au amekosea yeye kutoka fasili ya Akili,maana aliyo itoa inakaribiana sana na maana ya elimu au kujua au maarifa baada ya kujifunza jambo fulani.

Hawa wana akili ila jawajafaidika na ile elimu waliyoipata.
Einstein alisema hakuna uhusiano kati ya elimu na akili. Kuna watu wana elimu lakini hawana akili, na wengine wana akili lakini hawana elimu. Ni bora uwe na akili ukose elimu, kuliko uwe na elimu ukose akili.

Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya elimu na akili,na huwezi kuvitenganisja viwili hivi,yaani kimoja hakiwezi kukaa bila ya kingine.

Akili huanza kufanya kazi pale ambapo milango ya fahamu inapoishia.

Naendelea.....
 

Hapana, hakuwa anaongelea akili, yaani intellect, bali alikuwa anongelea Elimu yaani Education. Kwa tafsiri sahihi zaidi alisema kuwa Elimu ni kile anachobaki nacho mtu baada ya kuwa amepoteza mchanganuo wa yale yote aliyowahi kufundishwa darasani!
 
Hapana, hakuwa anaongelea akili, yaani intellect, bali alikuwa anongelea Elimu yaani Education. Kwa tafsiri sahihi zaidi alisema kuwa Elimu ni kile anachobaki nacho mtu baada ya kuwa amepoteza mchanganuo wa yale yote aliyowahi kufundishwa darasani!
Mkuu embu rudia tena kusoma ulichoandika...kama elimu ni ile unayobaki nayo baada ya kupoteza vyote ulivyofundishwa darasani je ni ipi?

Maana elimu uliipata darasana na sasa umeipoteza unawezaje kubaki na elimu tena..utakachobaki nacho ni akili maana ata kabla ujaijua elimu akili ulikua nayo!
 
Nilikuwa najaribu kukueleza kile alichowahi kusema huyo mtaalamu, kama unapingana nacho sasa hiy siyo juu yangu, ni kitu kingine!
 
Hapana, hakuwa anaongelea akili, yaani intellect, bali alikuwa anongelea Elimu yaani Education. Kwa tafsiri sahihi zaidi alisema kuwa Elimu ni kile anachobaki nacho mtu baada ya kuwa amepoteza mchanganuo wa yale yote aliyowahi kufundishwa darasani!
Upo sahihi sijui huo usemi wa akili wameupata wapi wakati Einstein aliongelea elimu ni kile kinachobaki baada ya mtu kusahau alichojifunza shuleni
 
Kwanza mnapotosha kitu halisi alichokisema Einstein
cha pili hiyo Quote ni ya kibabe sana kama sio rational thinker huwezi kumuelewa Einstein
Anachomaanisha Einstein unapopata elimu ya darasani lengo sio ukaitumie ile elimu direct bali elimu ya darasani inakupa tu limits za wapi taaluma fulani imefikia kwa muda husika na inatakiwa ikusaidie ku imagine solution ya changamoto mpya na itakapotokea unasolve vitu kwa imagination zako tu pasipo reference ya ulichojifunza hapo ndio utakuwa umeelimika
kutokana na imaginations za watu ndio tunapata inventions na innovations mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…