Shabiki wa Yanga afariki uwanjani

Shabiki wa Yanga afariki uwanjani

kwa mtazamo wangu yanga jana wamekosa ushindi kizembe, tena aliyewakosesha ushindi ni kocha mwenyewe. We utampaje kiiza kupiga penati wakati kina cannavaro, okwi na kavumbagu wapo na walionyesha ufundi ktk upigaji wa penati zao kule misri.
Nilimshangaa sana kocha nilipoona ni kiiza anapiga ile penati as nilijua angempa mmojawapo wa hao niliowataja
 
Kukosa penati ktk soccer ni kitu cha kawaida kwani hata nyota wakali kabisa duniani hutokea wakakosa penati. Kocha ndiye mtaalamu wa bench la ufundi anawafahamu wachezaji wake vizuri, sidhani kama anastahili lawama kwa Kiiza kukosa penati. Na tena kati ya wachezaji wanaopiga vizuri penati zao hapa nchini,Kiiza ni mmoja wao. Pole brother ndo mpira ulivyo.
 
hapo kwa red, mbona hakumpa kule misri?
 
hapo kwa red, mbona hakumpa kule misri?

Kati ya vitu vilivyonistaajabisha siku hiyo, ilikuwa ni kitendo cha bench la ufundi kumtoa Kiiza wakati kukiwa kumesalia dakika chache kabla ya mpira kwisha na kukiwa na kila dalili kuwa mchezo utakwenda katika hatua za matuta. Nimemuona Kiiza akipiga penati akiwa na timu ya taifa ya Uganda, kiukweli Kiiza na Okwi ni wapigaji wazuri sana wa penati.
 
Back
Top Bottom