Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,925 Aug 29, 2011 #1 Kuwa shabiki wa arsenal raha yake ndio hii. Jamaa kavaa jezi ya arsenal, kampa ombaomba pesa ya msaada kakataa, kwenye daladala abiria wanampisha siti, kampa konda nauli kakataa kasema nenda tu kijana, pole sana!
Kuwa shabiki wa arsenal raha yake ndio hii. Jamaa kavaa jezi ya arsenal, kampa ombaomba pesa ya msaada kakataa, kwenye daladala abiria wanampisha siti, kampa konda nauli kakataa kasema nenda tu kijana, pole sana!
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,925 Aug 29, 2011 Thread starter #3 Jaguar said: Mweeh! Click to expand... Ahahahaah!!