Shabiki la Mamelod Sundowns damu

Carasco Putin

JF-Expert Member
Apr 23, 2022
8,673
25,844
Ninaongea nikiwa na uhakika, michezo hii naifahamu vizuri, Mamelod anaua utopolo vizuri tu.

Na kama utopolo atachomoka , mimi carrasco masandawane bin Bala bana BANTA natangaza rasmi kuagana na jamiiforums.

Iwe jua iwe mvua, utopolo ameyakanyaga, utopolo ameyatimba.

IMG-20240328-WA0638.jpg
 
Ninaongea nikiwa na uhakika, michezo hii naifahamu vizuri, mamelod anaua utopolo vizuri tu.

Na kama utopolo atachomoka , mimi carrasco masandawane bin Bala bana BANTA natangaza rasmi kuagana na jamiiforums.

Iwe jua iwe mvua, utopolo ameyakanyaga, utopolo ameyatimba.
huzuni mitaa ya msimbazi kuanzia ijumaa kuu, hadi baada ya pasaka ni parefu ujue, ndrugo zango dah 🐒
 
Back
Top Bottom