Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
Mpumbavu Mwenye stress za maisha!!!Mo ni muungwana maana kaona asipigizane kelele na mjinga asiyejua maana ya ushabiki.
Mpumbavu Mwenye stress za maisha!!!Mo ni muungwana maana kaona asipigizane kelele na mjinga asiyejua maana ya ushabiki.
Mnaweza kuchambana na sio kutafuta hela kama yeyehahah Mo kawa mdogo kama piriton. Kumbe maskini tukijiamini tunaweza hahahaa




Wakina nani wachukie bidhaa zake?Mo amekuwa mswazi, yani huwezi sema ni tajiri.
Mo kama Diamond.
Sijui bongo katuloga nani, mtu anashindwa kulinda status yake.
Haya mambo angeachia mashabiki, atajenga chuki bure na watu kuchukia bidhaa zake.
Poor Dewji
Weeeee unadhani kuombwa msamaha na bilionea mchezooo??? huyo tayar kaandika CV hapoMnaweza kuchambana na sio kutafuta hela kama yeye![]()
Hapo kaombwa msamaha kafurahi kasahau hadi shida zakeMpumbavu Mwenye stress za maisha!!!



CV ya insta itamsaidia nini kwenye maisha?Weeeee unadhani kuombwa msamaha na bilionea mchezooo??? huyo tayar kaandika CV hapo
Hapo kaombwa msamaha kafurahi kasahau hadi shida zake![]()
uungwana ni vitendo siku yoyote mtu Muungwana akivuliwa nguo hainami huchutamaMo na Diamond ni kama sungura na tembo. Kwa Mo huyo diamond ni kapuku mwenzetu tuWakina nani wachukie bidhaa zake?
Mbona diamond hawachukii nyimbo zake?
Watanzania hampendi mtu aishi maisha yake hapo katania ila mtu kapovukwa.
Yaani kwa wastaarabu watakua wamemuelewa sana Mo.![]()
![]()
![]()
uungwana ni vitendo siku yoyote mtu Muungwana akivuliwa nguo hainami huchutama
hujui insta ni biashara siku hizi??? huyo anaweza kupata matangazo mpaka ukachanganyikiwa maana attention kubwa ipo kwake nowCV ya insta itamsaidia nini kwenye maisha?
Mi pia nimemuelewa sanaa! Ana hekma huyu kaka vibaya mnoooYaani kwa wastaarabu watakua wamemuelewa sana Mo.
Amefanya Moo angefanya sheikh Mansoor wa Man City wangeona poa kafanya moo wanamwita mswazii!Wakina nani wachukie bidhaa zake?
Mbona diamond hawachukii nyimbo zake?
Watanzania hampendi mtu aishi maisha yake hapo katania ila mtu kapovukwa.
Wabongo siye aliyeturoga kafaqqCV ya insta itamsaidia nini kwenye maisha?
na sisi makapuku tumemuelewa huyo mwenzetu maana amemfanya Mo aonekane mstaarabu a.k.a amemrudisha njia kuu ajue status yakeYaani kwa wastaarabu watakua wamemuelewa sana Mo.
hahah Mo kawa mdogo kama piriton. Kumbe maskini tukijiamini tunaweza hahahaa

Matangazohujui insta ni biashara siku hizi??? huyo anaweza kupata matangazo mpaka ukachanganyikiwa maana attention kubwa ipo kwake now

Bora huyo mshkaji ana stress za kawaida za life, kuliko stress za Mo hajui kesho Magu ataamka na mipango gani,Mpumbavu Mwenye stress za maisha!!!
Mzee Baba kwisha habari yake!Watanzania wana stress ukijichanganya wanakutolea stress zao
Sijaona kosa la Mo ,huyo mzee baba akapambane na hali yake