Shabani Maulidi (15) aliyefariki miaka mitatu aonekana hai

Shabani Maulidi (15) aliyefariki miaka mitatu aonekana hai

Ikitokea kwa mtumishi wa serikali itakuwaje? = Atarudishwa kazini?

Atapewa malimbikizo ya mshahara wake wote na kisha kuendelea na kazi. Bosi atikata kuleka za kuleta anampeleka kule alikokuwa yeye wanabadilishana
 
Binafsi ningekuwa mhusika na mwathirika, ningefanya jitihada kwenda kaburi kuchimbua kujiridhisha kama kilichozikwa nimwili wa binadamu au jinamizi la gogo la mgomba.

Inaelekea mtekaji alikosea kumpa dozi mwadhirika akili yake ikaanza kurudia hali yake ya kawaida na kupata upenyo wa kumtoka.

Kama bado unayo nipatie mkuu,..
 
takribani miezi 5 au 6 iliyopita itv waliripoti tukio kama hili kutoke katika mkoa mmoja(siukumbuki) na mhanga alikuwa mama wa takribani miaka 35-40. alikufa miaka kadhaa iliyopita kwa ugonjwa wa figo kama sikosei tena alifia hospitali na akazikwa miaka kama mitano nyuma, cha ajabu siku moja usiku akaja mpaka nyumbani kwake akakaa barazani, binti yake alipotoka nje akamkuta mama yake akapigwa na butwaa.
alihojiwa na itv akajieleza kua alikuwa mwituni. ila alikuwa na tatizo moja la kupepesa macho mfululizo
 
Kwa vile serikali na wataalamu wameshatia mguu katika kufanya utafiti wa jambo hili tusubiri kitakachotokea baada ya kufukua kaburi linalodaiwa alizikwa kisha kukuta mifupa na sasa mkemia kwenye kufanya vipimo vya nasibu (DNA) tuone kinachoendelea.
 
Back
Top Bottom