GE2025 Shaban Nkunya ahukua fomu jimbo la Kawe kupitia CCM

GE2025 Shaban Nkunya ahukua fomu jimbo la Kawe kupitia CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Hemed Shabani Nkunya, Mfanyabiashara na Mjumbe wa Kamati ya Uchumi na Fedha wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mbweni Mpiji mkoani Dar es Salaam ametia nia ya kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Kawe mkoani humo kwa tiketi ya CCM.

Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025

Mapema leo amefika katika Ofisi za CCM Wilaya ya Kinondoni na kukabidhiwa fomu na Katibu Msaidizi wa Uchaguzi CCM, Amos na tayari kuuanza mchakato kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.
1751130002279.png

Chanzo: JamboTV
 
Back
Top Bottom