THINKINGBEING
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 2,779
- 1,304
1.Wewe mbona umeshaligusa.Nilifikiri hata wewe ni great thinker.Mi mara nyingi huwa nawashangaa mnaojiita Great thinker,kwani kuna tofauti gani mchaga kutumia milion kumi akisherekea xmas rombo na ndgu zake ambao hat secondary hawajagusa na nchi yenye watu zaidi ya 40mil?,nyie wenyewe kila mwaka mnafanya birthday zenu za zaidi ya 70 elfu na hili khari bado hamja timiza mahitaji yenu yote ya kifamilia iweje gvt isisherekee 50yrs kwa Bs?ok anaway this is a demothinking ground.
Huu ndio utamaduni wetu watanzania. Unaanzia katika hatua ya mtu mmoja mmoja mpaka kwa taifa. Kuna tofauti gani kati ya hiki kilichofanyika kwenye sherehe za uhuru wa Tanganyika na watu kutumia Tshs 50 million kwa harusi kwa harusi ya masaa machache kwa siku?
DiktetaNext prezdaa mnataka yupi?
the choice is urs!
Acha upumbavu,mbona awamu hii ya JPM hayo hayatokei. Kile kilikuwa kipindi cha wapigaji. Sasa hamna la kusema. Mmebaki kukenua meno tuBotha hakukosea
Hizi hela zilisababisha mzunguko feki wa helaAcha upumbavu,mbona awamu hii ya JPM hayo hayatokei. Kile kilikuwa kipindi cha wapigaji. Sasa hamna la kusema. Mmebaki kukenua meno tu
Sasa hivi hela zinapelekwa kwenye lami,reli,anga na umeme wanasema si kipaumbeleHela ambayo ingetosha kabisa kuunganisha wilaya ya karatu na Mbulu kwa kiwango cha lami. Mbulu ambayo kwa miaka zaidi ya 100 ya uwepo wake kama wilaya haina barabara ya lami hata moja!
Tungeweza basi kununua magari ya wagonjwa kwenye wilaya karibu 100 nchini na kuondokana na mpango wa vibajaji!
Tungeweza kuwalipa waalimu malimbikizo ya madeni yao na kuepukana na mgomo walioitisha mwezi januari mwakani!
Tungeweza kulipia mfuko wa jimbo kwa wabunge zaidi ya mia 3 kwa miaka miwili!
Duh! Hadi ccm itakapoondolewa madarakani tutakuwa tumebaki mifupa mitupu!
Upo sawa na watu wakazoea msisha ya ufisadi
Nawe mhenga kumbeBotha hakukosea
Sasa ni wakati wakujenga miundombinu.Kwani hakuna madai ya wafanyakazi?hii pesa wangelipa madai yawatumishi Kama yapo wasingemaliza hiyo kero?
Sent using Jamii Forums mobile app