Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,750
- 37,405
Hii SGR tulipigwa za uso tena uso wa amani.
Ukiangalia kenya SGR yao inapopita maeneo kama vijijini,porini kutokana na jeografia ardhi na vilivyomo kuna sehemu unaona ni mwendo wa daraja refu lilopo juu.Kupisha kama wanyama kuvuka,maji ,huduma za vijiji kwa uhuru .
Hii ya kwetu sasa picha linaanzia gongo la mboto stering shamirikani.
Hakuna pa kupita mpaka ufate umbari mrefu wakati ilitakiwa ilivyoanza mpaka inafika pugu iwe juu ya daraja sababu ni makazi ya watu.
Huku vijijini ndio kabisa yani kama wameweka vifusi mfano wa ukuta wa china.
Na sehemu utakayokuta daraja ndio hapo mnapita ni kwamba kifufi kinachopitisha reli ya SGR ni kikubwa mno na hawa kuangalia athari ya mfumo wa maji kama mfuwa,wanyama na shuguli za binadamu.
Kwa wale mfano maeneo ya shinyanga na mwanza.