Sexy legs na miguu ya bia sikila miguu ya bia unaweza kuwa sexy leg lakini mara nyingi ni ndio japo ipo miguu isiyo ya bia ni sex leg ila sio yote

Sexy legs na miguu ya bia sikila miguu ya bia unaweza kuwa sexy leg lakini mara nyingi ni ndio japo ipo miguu isiyo ya bia ni sex leg ila sio yote

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
3,173
Reaction score
4,488
Kuna aina mbili za mvuto wa miguu kwa mwanamke ambazo kwa macho ya mwanaume uchangia ashiki, Uongo?.

Sexy legs ni miguu yenye mpangilio unaovutia kwa macho, ni miguu iliyojengeka vizuri, laini, na ina shape inayofanya itazamwe kwa utulivu.
Mvuto wake huwa unaamsha hisia Kali kimtindo Kila inapotazamwa ikiachwa wazi si sawa na miguu ya wanawake wote ni ya kipekee..

Wakati huo huo, miguu ya Bia ni miguu yenye ujazo mkubwa chini na mapaja yenye ujazo mdogo unaovutia japo wakati mwingine yanaweza kujaa ni Kwa wachache., ni miguu yenye mvuto au sio?
Mvuto wake huwa wa moja kwa moja, unaojionesha bila kujificha. Si kama ule WA sex leg MPAKA kujifaragua kidogo😄.

Kwa kifupi, Sexy legs huvuta kwa hasa inapokiwa wazi sana na Miguu ya bia huvutia hata isipokuwa wazi mfano ikiachiwa kidogo au MTU akivaa suruali.


Kila MTU anavutiwa na aina ya miguu je wewe uko wapi

A. Sexy Legs
B. Miguu ya Bia


PICHA KADHAA WADAU WENGINE ONGEZENI SEXY LEG VS MIGUU YA BIA NB KWANINI SEXY LEG SINKILA KIGUU YA BIA INAWEZA KUWA SEXY LEG


Nime mix miguu hapa chini sexy leg na miguu ya Bia huu wakwanza na WA mwisho ni sexy leg ya kati ni miguu ya bia

unnamed (7) (1).jpg



images (18).jpeg
Gemini_Generated_Image_f800krf800krf800 (1).jpg
 

Attachments

  • unnamed (8) (1).jpg
    unnamed (8) (1).jpg
    14.6 KB · Views: 3
Umbo la kike likiwa jembamba na miguu yake ya wastan, (Slay queens) anapendeza,
Akiwa na mwili wastan manakae miguu itakua wastan anapendeza akiwa bonge na miguu minene anapendeza pia ndio maana hatuwezi kuridhoshwa na maumbile ya aina moja kipita mwembamba utamtaman akipita bonge utamtaka.
Hii ndio falsa Uislam ukaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja.
🙏
 
Back
Top Bottom