Sexy eyes

Kabla ya kuoa au kuolewa, kuna haja ya kujua idadi ya wapenzi ambao mchumba wako alikuwa nao?
 
Macho Nyegevu

Macho Ngonovu

Macho RembuRembu.
 
macho km gong'ore yawe sex eyes tena ni ngumu.
 
Yaani hayo macho kama vile yuko interested na ngono ingawa siyo hivyo.
 
Man!! Umenikumbusha Arusha aicee hasa uliposema jina Seurii.

Machalii wa Arusha wana lifestyle moja ya kigumu lakini sweet life.

Colobus, Masai Camp na Crystal club ndio zilikuwa Yechu yechu those years.

Arusha...Houm sweet Houm!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…