sokwe
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 2,022
- 1,062
Tumezoea kusema huyu dada Ana pepo wa ngono! It's called persistent sexual arousal syndrome, mwanamke anakuwa na hamu ya kufanya ngono wakati wowote Hali hiyo inapomtokea na inawezekana kutokea hata Mara 50! Kwa siku, hakuna njia nyingine isipokuwa kupiga nyeto au kulala na mwanaume/wanaume ili kukidhi haja yake. Ni Hali inayowaathiri wanawake kisaikolojia kwani wamekuwa wakihukumiwa na jamii/familia Kama Malaya, jaribu kufikiria ikiwa you can ejaculate 10 times within an hour! Imepelekea wanawake wengine kujiua, so far there's no treatment.