Sex Rehab...wapi?

MadameX

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2009
Posts
7,792
Reaction score
3,860
Kule kwetu tunaita wenye nyege za kitunguu saumu, zaidi ya maombi ya kutoa pepo la ngono. Kweli kuna tiba ya hii addiction, I mean some kind of Sex Rehab Center.

Akuu sio mimi kuna mtu anahitaji huu msaada.
 
Kwani kitunguu saumu kina nini? Funguka kidogo pse.
 
dawa yao hawa ni kuwanunulia box la sabuni ya kuogea na wake hata 3.

Kuna kijana niliwahi ishi naye mahali, alikuwa na pepo 'makata' la ngono.

Alikuwa namwacha gf wake na kwenda kula wanawake wengine chooni, yaani utadhani hana kichwa.

Hadi aliugua ugonjwa hospital akashauriwa apunguze ngono
 
is she or he? if the person is 'she' then pm me and I will give you a detailed consultation. other things need private conversation! :violin:
 

Huyo jamaani noma, hizo ni zaidi ya ngege tunaziitaga "nyegeza"
 
kama huyo demu mlete kwangu nitampa therapy ya ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…