Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,910
- 21,962
Wacha bwana!! 🙆🙆🙆
Ndiyo hivyo. Kwani ulikuwa hujui?
Wacha bwana!! 🙆🙆🙆
Probability hapo suriya, kuna mdada nilishawai muona yeye ana pesa na anataka bwana mwenye pesa mapenzi hayapi nafasi kubwaHela haiangalii jinsia, kila binadamua anataka pesa.
Piga picha kwa mwanamke mwenye kazi yake nzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejione hili na mimi. Juz juz tu apaProbability hapo suriya, kuna mdada nilishawai muona yeye ana pesa na anataka bwana mwenye pesa mapenzi hayapi nafasi kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app