win-one JF-Expert Member Joined May 28, 2024 Posts 9,362 Reaction score 32,009 Jul 1, 2026 #21 de Gunner said: Haya jorowe, ila nitakunasa tuu๐ Click to expand... tatizo haujui unataka nini maana nakuonaga unaruka ruka tu kama samaki anae ogelea
de Gunner said: Haya jorowe, ila nitakunasa tuu๐ Click to expand... tatizo haujui unataka nini maana nakuonaga unaruka ruka tu kama samaki anae ogelea
de Gunner JF-Expert Member Joined Nov 2, 2021 Posts 11,307 Reaction score 22,428 Jul 1, 2026 #22 win-one said: tatizo haujui unataka nini maana nakuonaga unaruka ruka tu kama samaki anae ogelea Click to expand... Unashindwa kujiongeza? Si hampendi kuambiwa directly nyie
win-one said: tatizo haujui unataka nini maana nakuonaga unaruka ruka tu kama samaki anae ogelea Click to expand... Unashindwa kujiongeza? Si hampendi kuambiwa directly nyie
win-one JF-Expert Member Joined May 28, 2024 Posts 9,362 Reaction score 32,009 Jul 1, 2026 #23 de Gunner said: Unashindwa kujiongeza? Si hampendi kuambia directly nyie Click to expand... kwenye kujiongeza ni uongo maana sijui unawaza nini kweny akili yako,, mawazo yetu hayawezi kufanana
de Gunner said: Unashindwa kujiongeza? Si hampendi kuambia directly nyie Click to expand... kwenye kujiongeza ni uongo maana sijui unawaza nini kweny akili yako,, mawazo yetu hayawezi kufanana
de Gunner JF-Expert Member Joined Nov 2, 2021 Posts 11,307 Reaction score 22,428 Jul 1, 2026 #24 win-one said: kwenye kujiongeza ni uongo maana sijui unawaza nini kweny akili yako,, mawazo yetu hayawezi kufanana Click to expand... ๐๐๐ Fanya kama nillikuwepo
win-one said: kwenye kujiongeza ni uongo maana sijui unawaza nini kweny akili yako,, mawazo yetu hayawezi kufanana Click to expand... ๐๐๐ Fanya kama nillikuwepo
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 7,821 Reaction score 20,822 Jul 1, 2026 #25 Lissu atoke aende zake Belgium ๐ง๐ช akaishi na family yake... kama vijana anaowapigania ndio hawa
Lissu atoke aende zake Belgium ๐ง๐ช akaishi na family yake... kama vijana anaowapigania ndio hawa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,930 Jul 1, 2026 #26 Achana na hayo mambo, fanya mambo mengine... Cc: Mahondaw