Sex katika nguvu

Whackiest

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
1,309
Reaction score
1,782
Wakuu kwema ! Nisiwachoshe sana naenda moja kwa moja
Nini kinatokea katika ubadilishanaji wa nguvu kwa mwanamke mchanga na mwanaume mzee vivyo hivyo mwanaume mchanga na mwanamke mzee

Kisha nipate ufafanuzi kwann ukionja penzi la mwanamke mkubwa sana unajikuta unatii mambo yake na kujinasibu sana kuomba msamaha kwa makosa yake .
Wajuzi mkuje
 
Vijana punguzeni ngono
 
Sasa kama hilo jimama au jibaba lina hela si lazima kijana ajibebishe au?
 
Mkuu hapo hutapata kitu, watu watakuleta conspiracy tu, pambana mkuu maisha yanahitaji mapambano, piga kazi, huwezi kuwaza huo ujinga.
Sio kwamba ujinga mkuu ila Wimbi kubwa la vijana wanajinasibu katika hio hali hatuwezi waacha wakateketea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ