Sex inamaanisha true lov

Sex inamaanisha true lov

True/False/I don't know

I don't know
 
Utakua na mpenzi kwa maana ya kushiliki tendo la ndoa ukaikwepa sex kweli?tunajua mapenzi yana sehemu pana sana ktk maisha lakini mapenzi kwa maana ya ku do sex hutakwepa,utakaa kwa muda bila kusex na mwenzi wako iwapo yupo mbali,lakini kama mpo pamoja karibu eti mnaishia kupiga stor na kila mtu anafanya yake tutadanganyana,hapo michepuko kwa mwenzio itahusika!
 
Back
Top Bottom