Sex doesn't prove love

Mkuu Alvin A. umeongea madini matupu kunywa kvant popote pale nitalipia

Kuna mdau kazusha swali hapo kwamba kwa nini tunaingia kwenye relationships kama sio sex

Naomba nijibu swali lake hapa na kukazia ulichokiongelea kwa wakati mmoja

Ni hivi tunaingia kwenye uhusiano kwa sababu mbali mbali kama companionship,kuanzisha familia,kupata sense of belonging na vitu vinavyoendana na hivyo

Sex ni part muhimu sana kwenye mahusiano ya kimahaba lakini haipaswi kuwa the main reason tunajiingiza kwenye mahusiano hayo, Sex ni kitu kinachoimarisha bond kati ya wanandoa inatumika kama faraja kati ya wanandoa,lakini ukichunguza vyema utagundua kuwa sex ina nafasi ndogo tu watu wawili wanapoamua kufunga ndoa na kuishi pamoja,hasa katika huu ulimwengu wetu wa sasa wenye pilika nyingi na ugumu wa uchumi kuzidi kuongezeka

hebu fikiria mama na baba wote wafanyakazi na hata akiwa mmoja pekee ndiye mfanyakazi,mna watoto,mna wagonjwa say baba au mama wa upande mmoja au wote ni wagonjwa tena wasiojiweza kitu wanahitaji uangalizi wa haswa,watoto wanasoma shule wanahitaji kutunzwa kufuatiliwa kwa ukaribu na mambo chungu nzima,unadhani katika hali kama hizi sex ina chukua nafasi kubwa kadri gani kwa wanandoa wanaopitia magumu kama haya? what if msingi wa wanandoa wanaoyapittia haya ulikuwa ni sex,unadhani katika hali kama hizi uhusiano wao utaboreshwa kwa sex? au ushirikiano thabiti kati ya hawa wenzi?

Mwisho nilivyokuelewa mkuu Alvin hukusema sex haina umuhimu,ila umetoa kama angalizo kwa watoto wa kike wanaotishiwa kuachwa na wapenzi wao kisa hawakutoa sex(something which is very good and very true and we should keep on emphasizing this to our growing girls maana ishakuwa janga) sex sio kipimo cha upendo,sex inakamilisha tu upendo baina ya wanandoa lakini kabla ya sex kuna mengi yanahusika na yanaweza kutumiwa kama kipimo cha upendo.

Hivyo watoto wa kike wasidanganyike na kujikuta wanatoa sex bila hata kutaka au tofauti na malengo au mipango yao,plus ukweli ni kwamba mwanaume yeyote yule anayependwa kweli kamwe hawezi kumlazimisha mpenzi wake afanya kitu ambacho hataki kwa wakati,ataelewa na atajali hisia za mwenzie,(the same applies na kwa wadada pia,wewe mkaka ukiona mpenzi wako anakulazimisha ufanye kitu tofauti na malengo yako,jua kabisa hupendi kimbia upesi)

so please watoto zetu wa kike,dada zetu,wadogo zetu wa kike jisimamieni msiruhusu mtumiwe miili yenu kwa sex kwa kigezo cha kwamba usipotoa sex humpendi,fanya sex kama tu umeridhia na sio kwa kutishwa.

True Love is understanding,
True Love can wait,
True Love doesn't pose excuses,
True Love doesn't need sex to be proved.
 

Madini[emoji1476][emoji1476]

Cc@Kingsmann
 
Nakukumbusha tu waliotanguliza ngono kisha mapenzi ndiyo hawa tunaokutana nao hapa JF kila siku wakilia lia juu ya mahusiano kama waliofiwa ... [emoji125]
 
Pombe haijawahi kumwacha Mtu yeyote salama kabisa maana akishalewa ulevi ndiyo unaamua badala ya akili binafsi.
 
Yaani full mchina at work here
 
"If sex doesn't prove love why cheating is an issue?"
Cheating is so good to get temporary lady for only sex while it can't consecutively match wife materially occurrence coz it needs more time to set strong friendship step by step/gradually without showing any sex signs, hence the nature of love is coming automatically between people, while sex is suddenly happening due to lustful elements.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…