Sex doesn't prove love

Nilipoona ile picha ya pili basi roho yangu kwatu sijasoma hata ulichoandika
 
Kama kuna ukweli, so according to this perspective of yours unapenda upewe nini ili ndio iwe upendo?
 
Halafu mtu humjui undani wake hata kama mnaishi jirani kwa miaka mingi unawezaji kumlala bila kwenda kupima kwanza?!

Watu wamejikataa nafsi zao , wako tayari kujipoteza kwa tamaa ya muda mfupi!

Hivi kwa nini watu hawana kinyaa?!

Hivi kwanini watu hawahurumii watoto wao na wazazi wao?!

Mwenyezi Mungu atuhurumie!

Tatizo ni nini?!
 
Tamaa ya mwili (wanaume) na fedha (wanawake)
 
Tatizo mnadhani watu wanasikiliza huo ushauri....

Cheza na vitu vingine sio dhakari na punani.
 
Kama kuna ukweli, so according to this perspective of yours unapenda upewe nini ili ndio iwe upendo?
chochote katika matendo yako unaweza nifanyia wema

Ushauri mzuri,kampani wakati wa matatizo,nk nk

najua vyote hivyo ili unipe yahitaji udhamirie

na viwe continuously actions si jambo la leo au wiki hii au mwaka huu tu

something with no end (repeatedly) That's LOVE.
 
isee kweli binadamu tumeumbwa tofauti lakini inamaana ww unaweza kukaa na mpenzi wako mwezi mzima usifanye sex?? binafsi siwezi unless awe mbali na mm lakini kama yupo karibu hiyo must be
 
You can love somebody, I mean real love not lust for sex or infatuation. Haven't you ever loved someone and you havent told her how you feel?? that is what we call love
How old are you now..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ni nyimbo tu.. Hivi unaweza kunywa chai bila sukari?
 
How old are you now..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ni nyimbo tu.. Hivi unaweza kunywa chai bila sukari?
kwanini umri mkuu unataka kuninunulia Bia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…