wadada napenda kuwashauri kutofanya mapenzi kabla ya ndoa kwa sababu zifuatazo kwanza ni dhambi mbele za mungu pili mwanaume anakudharau hata kukuacha itakuwa si shida kwake tatu watoto wako watarithi tabia yako nilichokisahau naomba uongezee for women advantages
wadada napenda kuwashauri
kutofanya mapenzi kabla ya ndoa kwa sababu zifuatazo kwanza ni dhambi
mbele za mungu pili mwanaume anakudharau hata kukuacha itakuwa si shida
kwake tatu watoto wako watarithi tabia yako nilichokisahau naomba
uongezee for women advantages
mh! Hata maandiko yameandika AKUOMBAE UMPE,uchoyo umeanza lini? Halafu SHAKE WELL BEFORE USE umesahau hii kitu?
kisa cha kukuta bamia na nyanya chungu???????????? me lazima nitest nione yalimo yamo................
uwiiiiiii ndo nyie mkiingia kwenye ndoa eti bwana hakufikishi,,,,,,,, sisikii utamu!!!!!!!!!
ndo maana sapu zipo eeeeenh!!!!! ukifeli mtihani shurti urudie.
Babe wangu uko wapi tuka tukafanye yetu sie tutangaze ndoa!!!!!!!!!!!!!!!
usizini:
unatest mwaka mzima? watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Hv ukienda kununua gar au baisker unachukua na kurudi nayo au lazma uijaribu?.......... Hvyoohvyo ni lazima tujaribiane kama 2ko fresh unaweza kuoa/kuolewa kumbe wenzako vifaaa alisha shusha window
Ndoa ni process ndefu sio maigizo wala maonyesho!!!!!!!!!!!!!!!! Inatakiwa mpate mda wa kufahamiana vizuri na mwenza wako.......... mojawapo ni huo uzinzi unaouita wewe!!!!!!!!!!!!
kwahiyo tununue 'ze goat in ze sack?'