Sex advice from grandma Carmela (Must read!)

Sex advice from grandma Carmela (Must read!)

eti watu waache oral sex. mmmh?

Sidhani kama ulipotaja 'watu' ulikua una'refer watu!

Hizi ndizo zile sehemu ambazo kabla ya kuchangia mtu anapaswa ku'declare interests ila walau tupate takwimu sahihi!!
 
safi sana hii nimeicopy tAYARI NGOJA NIIPASTE KWENYE MAISHA
 
hizo ni akili za huyo bibi kizee bwana. 7 min?

...tena hiyo ni after having skipped all the 'afore mentioned' preps!?
Labda kuna bibi mtaani kwako umuulize ile walau kupata uhakika wa hili?! hahahah
 
soma number 5 and tell me how insulting is that statement!
Mwali, nilipofika hapo, sikuendelea tena kusoma kwa kweli.....aaah!,,,hebu nipemo chai miye na uzee huu bila chai akili haifanyi kazi
 
Last edited by a moderator:
Mwali, nilipofika hapo, sikuendelea tena kusoma kwa kweli.....aaah!,,,hebu nipemo chai miye na uzee huu bila chai akili haifanyi kazi
Karibu chai Uncle
Tea Cup.jpg
 
Back
Top Bottom