Sevilla Wanyonyana Ndimi Baada ya Kutwaa Kombe

Sevilla Wanyonyana Ndimi Baada ya Kutwaa Kombe

Duuh wazungu wameachana na ukristo wamehamia huku rasmi
 
Hii picha ukiiangalia kwa makini sidhani kama wananyonyana ndimi

Mkuu wewe unaweza kukubali kukaa na mwanaume mwenzio hivyo yaan mpaka harufu ya pumzi zake unasikia lips kwenye kidevu na hapo ni hadharani!!!!!!!!!!!!!

Mmmmmmmmh hebu funguka
 
Sidhani kama wananyonyana ndimi, ni vijibusu vya shavuni tu hivyo isipokuwa angle ya camera na kwa kuwa picha hii ni still ndio maana unaweza ukafikiri kama unavyotufikirisha ndugu mleta thread
 
Kwa kupenda kuiga kila kitu Haitashangaza kuwaona wachezaji wetu wa Tanzania( wa kandand au netiboll n.k) nao wakaiga mambo haya ya kulana denda hadharani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom