S SAMWELY Member Joined Apr 11, 2011 Posts 9 Reaction score 0 Jun 24, 2011 #1 Jamani kama kuna mtu anayefahamu jins ya kuchakachua kas per sky naomba atusaidie
e2themiza JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 974 Reaction score 564 Jun 25, 2011 #2 SAMWELY said: Jamani kama kuna mtu anayefahamu jins ya kuchakachua kas per sky naomba atusaidie Click to expand... Mkuu labda unge elezea zaidi tatizo lako kama ni version ipi ya kaspersky na kuichakachua vp apo maelezo hayajitoshelezi... ukielezea zaidi wataalum watakusaidia ni hayo 2 mkuu
SAMWELY said: Jamani kama kuna mtu anayefahamu jins ya kuchakachua kas per sky naomba atusaidie Click to expand... Mkuu labda unge elezea zaidi tatizo lako kama ni version ipi ya kaspersky na kuichakachua vp apo maelezo hayajitoshelezi... ukielezea zaidi wataalum watakusaidia ni hayo 2 mkuu
b-crack3r Member Joined May 31, 2011 Posts 14 Reaction score 0 Jun 26, 2011 #3 tafuta google anti-blacklist ya hiyo anti-virus version yako.....
S siwalaze Senior Member Joined Oct 7, 2010 Posts 124 Reaction score 14 Jun 26, 2011 #4 ya mwaka gani hiyo??? i mean version ipi?