Ok.
Cjui ndo hizo hizo!!!s4...bt huwezi Amini nikiweka mitandao mingine fresh ila eatel ndo hivyo ndo ni Kaambiwa mpaka niende.nikaenda wakafanya manually ndo ikakubali na niliwailuza wakasema ndo utaratibu wao.
Ss cjui

Labda inategemea na cm mwanzo ilikua haikubali nikaambiwa had niende ofcn kwao mi na ubishi wangu nikaendelea tu kufanya setting mwenyewe had ikakubali.