Settings ya internet ya halotel

Settings ya internet ya halotel

kson m

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
6,682
Reaction score
3,066
Tafadhali mwenye kujua namna ya kufanya settings ya internet ya halotel anipe maarifa kidogo. ahsante.
 
nenda kweny Name andika Halotel, APN andika internet, alaf authentication type PAP or CHP, hakikisha unajaza km nilivyokuonyesha penye heruf kubwa weka km nilivyoweka na ndogo km nilivyokuonyesha, ukikosea haikubal,
 
ahsante mkuu naingia field sasa hivi.
 
nimeanza kuburudika na internet ya halotel.
 
nenda kweny Name andika Halotel, APN andika internet, alaf authentication type PAP or CHP, hakikisha unajaza km nilivyokuonyesha penye heruf kubwa weka km nilivyoweka na ndogo km nilivyokuonyesha, ukikosea haikubal,
Mkuu kwenye Proxy na Port unaandika namba zipi?
 
Hivi huu mtandao makao makuu yake Niwapi naona umeeneaghafla vijijini kuliko Tigo
 
Settings>mobile networks>access point names
Name: halotel
Apn:b-internet
Mambo mengine yoteee unayaacha kama yalivyo..save n enjoy
 
nenda kweny Name andika Halotel, APN andika internet, alaf authentication type PAP or CHP, hakikisha unajaza km nilivyokuonyesha penye heruf kubwa weka km nilivyoweka na ndogo km nilivyokuonyesha, ukikosea haikubal,

Hawa jamaa vocha zao zinapatikana wapi hapa mjini dar es salaam aisee
 
Please anyone with the ideas of product menu ya hawa waokozi wa mawasiliano hapa tz pamoja na tarrif rate zao
 
Back
Top Bottom