bless 2011 Member Joined Dec 20, 2021 Posts 19 Reaction score 17 Dec 31, 2021 #1 Kwa wenye biashara ya Barber shop au saluni ya kiume naomba kujua set ya mashine ya kunyolea ni bei gan?? Au Kwa kuanza biashara hiyo unaweza kununua nusu ya seti au hta moja wapo tu ili biashara ianze? Naomba msaada Kwa wazoefu wa biashara hii.
Kwa wenye biashara ya Barber shop au saluni ya kiume naomba kujua set ya mashine ya kunyolea ni bei gan?? Au Kwa kuanza biashara hiyo unaweza kununua nusu ya seti au hta moja wapo tu ili biashara ianze? Naomba msaada Kwa wazoefu wa biashara hii.
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,697 Reaction score 22,571 Dec 31, 2021 #2 bless 2011 said: Naomba msaada Kwa wazoefu wa biashara hii. Click to expand... Anzia hapa: Biashara ya salon za kiume na kike
bless 2011 said: Naomba msaada Kwa wazoefu wa biashara hii. Click to expand... Anzia hapa: Biashara ya salon za kiume na kike
bless 2011 Member Joined Dec 20, 2021 Posts 19 Reaction score 17 Dec 31, 2021 Thread starter #3 Mwl.RCT said: Anzia hapa: Biashara ya salon za kiume na kike Click to expand... Asante
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,909 Reaction score 193,846 Dec 31, 2021 #4 Ngoja waje kukupa muongozo...