serikali inafanya mambo ya kipuuzi halafu wakisikia wenzao wamefundishwa adabu na wananchi waliochoka kama Libya, Misri na Syria wanaanza sio jambo la kuomba litokee nchini kwetu, badilikeni msikae kutujaza ujinga kila siku wananchi kushinda kuwapigia makofi huku mkicheza na haki zetu