Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,742
- 3,319
Katika aina za utahira basi huu inashika nafasi za juu kabisaHabari wakuu
Nimetoka kusikiza hii session muda sio mrefu(Clouds fm)
Huyu mdau aliyetaka kupima mahusiano yake baada ya girlfriend wake kuonesha mabadiliko ya kitabia sijui atalala vipi leo[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmekuwa kama matahira sasa
Kwanini?Katika aina za utahira basi huu inashika nafasi za juu kabisa
Nilianza kukisikiliza hicho kipindi kile wakati more J anafanya kama sub presenter kama Diva akiwa ayupo, nilichokuja kugundua ni uzwa zwa mtu kwenye sension,....Kwanini?
yaani wamekuwa watumwa hasa, imefikia pahala they can't think of anything else, kufuata mkumbo ni tatizo sana, ndiyo ile mnaiga jibu darasa zima kwa genius wa class imagine ni matching items, halafu na yeye siku hiyo kapoteana kajaza 'No Answer' na wao wamejaza the same..!!Mmekuwa kama matahira sasa
Sio kwamba ni ubunifu mzuri?Nilianza kukisikiliza hicho kipindi kile wakati more J anafanya kama sub presenter kama Diva akiwa ayupo, nilichokuja kugundua ni uzwa zwa mtu kwenye sension,....
yaani wamekuwa watumwa hasa, imefikia pahala they can't think of anything else, kufuata mkumbo ni tatizo sana, ndiyo ile mnaiga jibu darasa zima kwa genius wa class imagine ni matching items, halafu na yeye siku hiyo kapoteana kajaza 'No Answer' na wao wamejaza the same..!!
Hilo watazungumzia wadau wengine Don C, Mimi nimeguswa zaidi na hayo majibu mfuatano kama wadoli..Umeona hicho alichokiandika mleta thread siyo cha utaahira?
Unaandikaje kama vile tumesikiliza wote hicho kipindi?
Hilo watazungumzia wadau wengine Don C, Mimi nimeguswa zaidi na hayo majibu mfuatano kama wadoli..
Ngoja tu niache,hakuna kipyaElezea kwa kirefu ueleweke.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Mmekuwa kama matahira sasa