Seriousness Women is Needed

Seriousness Women is Needed

mkuu afadhali wewe umejaribu English sio mbaya sana. Nakutakia harakati njema za kutafuta mke mwema JF
 
just another
disaster..........."seriousness women is needed"
graduate? its true nobody is perfect.

asante kwa kujua no body is perfect. so mfanyie masahihisho hapa hapa ili ajirekebishe. au basi mkuu THE BOSS njo hapa rekebisha hii lugha.
 
kumbe hapa JF mtu msomi ni yule anaefahamu kuongea English?? hiyo ni lugha tu kama kimakonde huyu mleta uzi anaweza kuwa kwenye medical field maana kule english taabu
 
Hata mimi ndicho nnachozungumzia simaanishi enzi za mwalimu kwa maana kwenye utawala wa mwalimu
Ok, kwa hiyo unamaanisha kabla ya mwalimu kuitwa hayati? hapo nimekupata....
...huyu ni wa enzi zetu...!
 
Habari Wakuu Wa Jf,Heri Ya Mwaka Mpya! Nimara Yangu Ya Kwanza Kujitokeza Jf. Jinsia Yangu Ni Mwanaume Natangaza Nia Ya Kutafta Mke Wakuoa Mwenye Vigezo Vifuatavo Mweupe,mcha Mungu,mrefu Na Mnene Kiasi,mcheshi,mvumilivu,mwaminifu,umri Kuanzia 22-31yrs,asiwe Mlevi,elimu KidatoIv-chuo Kikuu,kabila Na Dini Yoyote.Mimi Ni Mwajiriwa Elimu Yangu Chuo,umri Wangu Ni 32yrs,situmi Kilevi Chochote, Dini Mkristu Dhehebu Rc.Karibuni Sana Mwenye Vigezo Ani Pm.

Rekebisha hiyo heading yako kijana!!!
 
Elimu ya chuo au madrasa!
 
Inasikitisha sana aisee yaani umefika chuo halafu hata kiingereza huwezi andika kwa ufasaha...Seriousness women ndo kitu gani hicho?!mnapenda kutumia lugha ya watu wakati hamuiwezi.Graduates wa sasa ni kichefuchefu kabisa hawajui kuandika kwa lugha fasaha ya Kiswahili wala kiingereza aisee.
 
Ni kweli kabisa, wasomi wengi sasa hivi swala la lugha limewapitia mbali...! Sio kiingereza tu, bali hata hicho kiswahili kilichotukuza hatukiwezi...! Angalau humu jf mtu akiandika vibaya anashambuliwa, lakini maongezi, maandishi yetu mengi ni hovyo tu.
 
Inasikitisha sana aisee yaani umefika chuo halafu hata kiingereza huwezi andika kwa ufasaha...Seriousness women ndo kitu gani hicho?!mnapenda kutumia lugha ya watu wakati hamuiwezi.Graduates wa sasa ni kichefuchefu kabisa hawajui kuandika kwa lugha fasaha ya Kiswahili wala kiingereza aisee.

Ni shidaaa....na mbaya zaidi tunaenda kufundisha tena watoto. Kizazi kijacho sijui kitakuwaje kwa kweli....elimu itazidi tu kuporomoka. Mimi dada yangu mwalimu wa shule ya msingi ameanza kazi mwaka 90 tena ndio wale walimu waliotoka darasa la 7 wakaenda chuoni miaka minne....nlipokuwa shule ya msingi alinifundisha tenses na principles za kiingereza vizuri kabisa...na zilinifaa haswaa katika kusoma kwangu. Nashangaa sie graduates wa miaka hii tunafanya makosa ya kitoto namna hii inasikitisha kwa kweli
 
kumbe hapa JF mtu msomi ni yule anaefahamu kuongea English?? hiyo ni lugha tu kama kimakonde huyu mleta uzi anaweza kuwa kwenye medical field maana kule english taabu

hio medical field labda awe kasoma china,russia,poland etc....lakini akisoma MUHAS,KAIRUKI au popote tanzania lugha inayotumika ni english.....kwahio graduate umeanza kutumia english form 1 mpaka chuo kikuu kama huwezi kuongea kiingereza huna excuse.
 
Achana na hiyo mkuu....kiingereza kinafundishwa shule za msingi na sekondari O level. Hata kama mtu kasoma china kiingereza ni lazima awe anajua hata kama si sana makosa ya kitoto kama haya hatakiwi kuyafanya.
 
hio medical field labda awe kasoma china,russia,poland etc....lakini akisoma MUHAS,KAIRUKI au popote tanzania lugha inayotumika ni english.....kwahio graduate umeanza kutumia english form 1 mpaka chuo kikuu kama huwezi kuongea kiingereza huna excuse.

wewe umesoma kozi gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom