Seriousness Women is Needed

Seriousness Women is Needed

katoko

Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
18
Reaction score
6
Habari Wakuu Wa Jf,Heri Ya Mwaka Mpya! Nimara Yangu Ya Kwanza Kujitokeza Jf. Jinsia Yangu Ni Mwanaume Natangaza Nia Ya Kutafta Mke Wakuoa Mwenye Vigezo Vifuatavo Mweupe,mcha Mungu,mrefu Na Mnene Kiasi,mcheshi,mvumilivu,mwaminifu,umri Kuanzia 22-31yrs,asiwe Mlevi,elimu KidatoIv-chuo Kikuu,kabila Na Dini Yoyote.Mimi Ni Mwajiriwa Elimu Yangu Chuo,umri Wangu Ni 32yrs,situmi Kilevi Chochote, Dini Mkristu Dhehebu Rc.Karibuni Sana Mwenye Vigezo Ani Pm.
 
Pamoja na elimu yako ya chuo, nenda kwanza tuition ya English halafu uje urekebishe title yako.
 
Kila la kheri umpate mke mwema Mungu akusaidie.
 
Title kwa kiingereza feki....
Mada kwa kiswahili feki....

Kwa hisani ya BRN

cc Komredi Nyani Ngabu.
 
Last edited by a moderator:
Niko hapa mie ila mie ni maji ya kunde Na sio mweupe
 
Pamoja na elimu yako ya chuo, nenda kwanza tuition ya English halafu uje urekebishe title yako.
 
Mie niko tayari kuwa wako kama utaridhika nami (angalia avatar yangu) but with one condition: Uhudhurie tuition kwanza ya English Language for 2 full years.
 
BRN ya enzi za mwalimu??

Tafadhali mtake radhi Mwalimu R.I.P. Enzi zake sera kama hizi za kimagumashi a.k.a. kikanjanja hazikuwepo. Utawala bora ndio ulikuwa unaonekana wazi japo wizara hiyo haikuwepo.
 
Mie niko tayari kuwa wako kama utaridhika nami (angalia avatar yangu) but with one condition: Uhudhurie tuition kwanza ya English Language for 2 full years.

Kwani english ni deal sana kihivyo?
 
For your statement and tittle you cant win the battle.You are missing important contents check me out there will tell you some thing important and it should be applied immediately.I have experience here to get sweaters,soon we are going to make engagement but i got here lol:A S crown-1:
 
Na wewe umeandika nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom