Seriously NIMESHINDWA KUPENDA YEYOTE

Seriously NIMESHINDWA KUPENDA YEYOTE

yes contnue cz its relate wth my story i do remembr the guy i used to lv since i was a kid.and i do lv hm a ntill nw bt i dnt no if he still lv me 2 antll nw bt i used 2 remember one thng from hm whn he was lvng to xkl he came 2me and say good bye and prmc he wl cme 2 back that promc still egizt in my mind !!
 
Mimi ni mwanaume na nina age ya 26,kiukweli katika maisha yangu nahisi kama kuna kitu nimekikosa ambacho weng wanacho,nacho ni kupenda msichana.kiukweli iko kitu sina na ninaposkia mtu kajiua kisa mapenzi huwa najiona watofauti sana.Hakuna aliowahi kunivutia nikasema nampenda japo weng wananipenda ilo niwe muwazi ila sijatokea kuwa na upendo wa kimapenzi,JE NITATATUAJE HILO TATIZO?

We umejua kama hilo ni tatizo wakati hauja sema kuna vyovyo unavyo jihisi kutokana kutofanya mapenzi au kutokuwa katika mahusiano.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom