Parata
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 3,090
- 692
Mimi ni mwanaume na nina age ya 26,kiukweli katika maisha yangu nahisi kama kuna kitu nimekikosa ambacho weng wanacho,nacho ni kupenda msichana.kiukweli iko kitu sina na ninaposkia mtu kajiua kisa mapenzi huwa najiona watofauti sana.Hakuna aliowahi kunivutia nikasema nampenda japo weng wananipenda ilo niwe muwazi ila sijatokea kuwa na upendo wa kimapenzi,JE NITATATUAJE HILO TATIZO?