Seriously natafuta mchumba-PM

Seriously natafuta mchumba-PM

Prayuth

Member
Joined
May 20, 2014
Posts
10
Reaction score
0
Sijapata PM yoyote toka jana baada ya kuweka Tangazo hapa la kumtafuta mchumba wa kike, sijui ni kwa sababu ya vigezo? ok, nalegeza,

Mimi ni mvulana miaka 27 nafanya kazi mwanza na elimu yangu ni ya chuo, natafuta mchumba wa kike ambaye atakuwa mke, awe na kazi yoyote halali na awe anaishi popote lakini ndani ya Tanzania hii. aliye tayari ani-PM .

Please awe serious tu.
 
Yani ukisema mvulana napata picha ya katoto kamevaa kaptula afu imetoboka matakkoni
27 years wewe sio mvulana bana....
kazi hata mchwa wanazo sema unamiliki nini uone mvua ya pm ikikunyeshea sahivi
 
Yaan kila nikifungua nyuzi natafuta kwanza post yako, huwa nacheka mpaka bhaaaaaaas, lol!
 
hapo ndo umelegeza?kweli nimeona yupo aliyesema anapata picha ya katoto.ila kwa uelewa wangu hujalegeza ila umeharibu.pangilia vizuri.tatizo sio vigezo kua vigumu.ila unavyopangilia vigezo vyako ndio unajipa nafasi nzuri ya kupata unachotaka.kwa vigezo ulivyoweka inaonyesha jins gani hupo serious kwa issue yako.mke nijambo kubwa sio sawa na kutafta gall frend
 
Hii njia haitumiki siku hizi mkuu, we wafuate PM mmoja baada ya mwingine, wiki mbili nyingi utawapata wa kukutosha kama Hashim Lundenga na Miss Tanzania yake, huruuu unachagua tu. Ila kuwa makini na weka budget ya kutosha.
 
ema mwanaume usiseme mvulana watu watakukimbia
 
Yani ukisema mvulana napata picha ya katoto kamevaa kaptula afu imetoboka matakkoni
27 years wewe sio mvulana bana....
kazi hata mchwa wanazo sema unamiliki nini uone mvua ya pm ikikunyeshea sahivi

Duh! Shikamoo Evelyn..
 
Yaan kila nikifungua nyuzi natafuta kwanza post yako, huwa nacheka mpaka bhaaaaaaas, lol!

Wee kama mimi,,,,,,,,,,,,,,,, nikiona avator na Id yake tu naanza kucheka kabla sijasoma.
 
Hii njia haitumiki siku hizi mkuu, we wafuate PM mmoja baada ya mwingine, wiki mbili nyingi utawapata wa kukutosha kama Hashim Lundenga na Miss Tanzania yake, huruuu unachagua tu. Ila kuwa makini na weka budget ya kutosha.

Kabsa kidumeee..
 
Sijapata PM yoyote toka jana baada ya kuweka Tangazo hapa la kumtafuta mchumba wa kike, sijui ni kwa sababu ya vigezo? ok, nalegeza,

Mimi ni mvulana miaka 27 nafanya kazi mwanza na elimu yangu ni ya chuo, natafuta mchumba wa kike ambaye atakuwa mke, awe na kazi yoyote halali na awe anaishi popote lakini ndani ya Tanzania hii. aliye tayari ani-PM .

Please awe serious tu.

So PM yangu hujaona au imekuja as spam. Sorry just joke.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom