Hiyo ni familia ya Umarioo, tafuta hela Binti atatulia kabisa, inawezekana wewe ni bahili kutoa mipunga
am 24years old. Na sababu iliyonifanya nitafute mwanamke aliyenizidi umri ni kuwa hawa wanawake ambao ni rika langu wamekuwa hawajui kujali, kuthamini na hata hawana upendo wa kwel. Ninahitaji mwanamke mwenye miaka kuania 30 and above.
KWA ALIYETAYARI ANI-PM.
nawasilisha jaman.
kipesa najiweza, wala sihitaji fedha ya mwanamke ila mm ndo hvyo nahitaji kuwa na mwanamke aliyenizid umri... ova..
Iam 24years old. Na sababu iliyonifanya nitafute mwanamke aliyenizidi umri ni kuwa hawa wanawake ambao ni rika langu wamekuwa hawajui kujali, kuthamini na hata hawana upendo wa kweli. Ninahitaji mwanamke mwenye miaka kuania 30 and above.
KWA ALIYETAYARI ANI-PM.
Nawasilisha jamani.
Duuuuh! Nakuja!
Kumbe na sisi bado nafasi zetu zipo!
Haleluyaaaaaa
zipo, fursa ndo hkyo changamkia.. kabla nafas hazijajaa
kipesa najiweza, wala sihitaji fedha ya mwanamke ila mm ndo hvyo nahitaji kuwa na mwanamke aliyenizid umri... ova..
M Pm Faiza faster.
Duuuuh! Nakuja!
Kumbe na sisi bado nafasi zetu zipo!
Haleluyaaaaaa
wewe iko ndugu na Christina Moshi wa Ndekule,au majina tu yamefanana