Mimi ni dada naishi na
kufanya kazi DSM, natafuta rafiki/mchumba mwenye umri 33-40 ambaye
baadae atakuwa mume wangu. Nahitaji mwanaume ambaye ni muaminifu,
mkweli, mwenye hofu ya mungu ambaye mwenye uhitaji kama wangu. Elimu
yake iwe kuanzia degree na kuendelea, awe ameajiliwa/kujiajiri, mkristo,
kabila yoyote. Akiwa hana mtoto itapendeza zaidi, akiwa naye mmoja sio
mbaya. Akiwa anaishi DSM itapendeza zaidi.
WASIFU WANGU
Umri : 32 yrs
Elimu: Degree
Kazi: Muajiliwa
Dini: Christian (RC)
Sijawahi kuolewa na sina mtoto.
Niko very serious on this issue, hivyo nategemea kupata PM kutoka kwa
ambaye yuko serious kama mimi. NO JOKES PLEASE.
Mimi ni dada naishi na kufanya kazi DSM, natafuta rafiki/mchumba mwenye umri 33-40 ambaye baadae atakuwa mume wangu. Nahitaji mwanaume ambaye ni muaminifu, mkweli, mwenye hofu ya mungu ambaye mwenye uhitaji kama wangu. (Elimu yake iwe kuanzia degree na kuendelea), awe ameajiliwa/kujiajiri, (mkristo), kabila yoyote. Akiwa hana mtoto itapendeza zaidi, akiwa naye mmoja sio mbaya. Akiwa anaishi DSM itapendeza zaidi.
WASIFU WANGU
Umri : 32 yrs
Elimu: Degree
Kazi: Muajiliwa
Dini: Christian (RC)
Sijawahi kuolewa na sina mtoto.
Niko very serious on this issue, hivyo nategemea kupata PM kutoka kwa ambaye yuko serious kama mimi. NO JOKES PLEASE
Nilimowekea mabano ndo utata dini yangu near Al sha boko haram Elimu std 7! Ila sifa nyingine ninazo unaniruhusu niku pm!
Hapo kwenye black napo neno..Muombe Mungu dada yangu na hakika atakujaalia mwenye mvuto na pendo la dhati kwako.. Ila naomba nikueleweshe kutokuwa mwaminifu haimaanishi kwamba hupendwi.. Hiyo ni moja ya hasara ya mapokeo ya mfumo dume duniani.. Muhimu ni heshima.. kwamba akuheshimu kwanza kama mwanamke na pili kama mwandani na ubavu wake..
Hapo kwenye black napo neno..
Aksante kwa ushauri nitaufanyia kazi. Najua kwenye msafara wa MAMBA na KENGE hawakosekani.