Term number 8 hapo.....je akiuziwa mbuzi kwenye guniaHabari zenu wote.. Ikiwa imetimia mwaka mmoja bila kuwa na mahusiano tangu niachane na mwanaume ambae nilimfumania na rafiki yangu na kupelekea kuachana nimeamua sasa kuingia rasmi kwenye relationship na mwanaume naemuhitaji kwanza;
1.Awe mchamungu
2.awe mpole kiasi
3.awe tayari kupima
4.awe na elimu ya juu kidogo kuliko maana mm Nina diploma
5. Mrefu kiasi mweupe kiasi au maji ya kunde asiwe mweusi sana
6. Awe anajielewa Mwenye future, vision na awe na Kazi inayomwingizia kipato
7. Miaka 28-35
8. Awe tayari kutofanya mapenzi mpaka tufunge ndoa au mpaka nitakapojiridhisha kwamba yeah he deserves to be my future hubby.
Mwisho wa yote awe na mapenzi ya dhati na ambae atajifanya analeta janjajanja asijisumbue Kabisa ..
Sifa zangu mom
1. Maji ya kunde
2. Elimu diploma
3. Nimeajiliwa
4. Dini muislam
Pm kwa maelezo zaidi
N:B Asiyekunywa pombe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Papuchi is very important vinginevyo nenda church ukatoe tangazo
Mkuu paka Rangi, sanaa brazaDuuh..... Weusi hatuna chetu kabisa siku hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulishapata?Amiin[emoji120] [emoji120]
Kweli tatizo lipo hapo maanake kumlidhisha mtu si kazi ndogo maanake hapa utakuwa unapelekwa kulingana matakwa yake tu na ikaishia usione ndani?hapo ndo tatizo linapoanzia...
Yaani udhaifu wenu mmeudhihirisha na huu mtego umekamata sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mtoa Mada saluti kwako, Hii No. 8 bhanaaa umetudhihirisha na kuonyesha uhalisia ya kuwa mapenzi yetu yameegemea kwenye papuchi kuliko maana halisi ya mapenzi.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ah rangi zishagomaga tangia nipo tumboni sembuse nje acha nibak hiv hiv labda siku ntaokota embe kwenye mnazi.Mkuu paka Rangi, sanaa braza
Kunywa maji mengi sana kama Ray....Duuh..... Weusi hatuna chetu kabisa siku hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rangi itamuharibu bhanaaa, suruhisho anywe maji mengi sanaMkuu paka Rangi, sanaa braza
Umewakamata kwa wanaume uchwara ila sio kwa wale wanaojielewa...Yaani udhaifu wenu mmeudhihirisha na huu mtego umekamata sana