JEMA JEMAHodi hodi jamani!
Nimekuwa nikitafakari na kujiuliza swali ila nakosa majibu sasa naomba msaada.
Tukiwa na serikali ya Zanzibar ofisi zake zitakuwa zanzbar na tukiwa tanganyika ofisi zake ztakuwa tanganyika, sasa je serikali ya tatu ofisi zake ztakuwa wap?
hodi hodi jamani!
Nimekuwa nikitafakari na kujiuliza swali ila nakosa majibu sasa naomba msaada.
Tukiwa na serikali ya zanzibar ofisi zake zitakuwa zanzbar na tukiwa tanganyika ofisi zake ztakuwa tanganyika, sasa je serikali ya tatu ofisi zake ztakuwa wap?