Serikali

Serikali

Joined
Feb 7, 2013
Posts
16
Reaction score
5
1920061_618074001614031_393997830928790881_n.jpg

SIRI-KALI
Vipaa mbele
1. posho/mafungu
2.safari/ziara
3.sherehe/fungate
4.uzinduzi
5.tume.nk
Vipaumbele
1 elimu
2 afya
3 miundombinu
4 nishati nk
 
Hahahaaa ccm ni chama cha masokwe, mwili mkubwa kichwa kidogo, wakianza kufikiri kichwa kinapata moto
 
Na bado wanataka kuendelea kuitawala nchi, miaka 53 mmeshindwa kuleta mabadiliko hata mkipewa 100 bado ni hadithi tupu, jamani wapisheni na wengine nao tuone mabadiliko yao!:A S cry::A S cry: Inaumiza sana maana wao wanaishi mijini adha ya barabara mbovu twaipata sie wananchi hasa wa kipato kidogo. CCM yatosha sasa.
 
Back
Top Bottom