Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Wana bodi,
Huu ni wakati muafaka kuikosoa serikali hii ya CCM ya awamu ya tano kuwacha kuingilia mipango thabiti ya kuinua na kuendeleza soka kupitia kwa wawekezaji wenye mapenzi na timu hizo kwa kuamua kuwekeza mabilioni ya fedha kwenye timu hizo.
Leo hii BMT wanajitokeza na kusimamisha zoezi hilo kwa msingi upi? Wao wana zisaidia nini hizo SIMBA na YANGA? Au ndio wale wanao lazimisha mfumo wa kujipatia vipato kupitia migongoni mwa hizo timu?
TUJADILI KWA MANUFAA YA SIMBA na YANGA