Serikali za Ugatuzi

Serikali za Ugatuzi

victor11

Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
67
Reaction score
7
Nimeshuhudia barabara nyingi zinazojengwa chini ya halmashauri zetu haswa mkoa wa Dar es Salaam hazidumu zaidi ya mwaka kabla hazijaanza kuwa na mashimo, je hili ni tatizo la uwezo wa mainjinia wetu.

Ukipita barabara ya Kinondoni kuelekea makaburini utaona barabara inavyotengenezwa, hicho ni kioja. Je ni nani anayepaswa kusimamia haya.
 
Kwa hiyo mkuu hutaki ugatuzi au una maana gani? Hutaki ugatuzi wa madaraka au neno ugatuzi limeingia kwa bahati mbaya?
 
Back
Top Bottom