Serikali za mitaa ndizo za wananchi

Serikali za mitaa ndizo za wananchi

yogan1

Member
Joined
Oct 18, 2014
Posts
21
Reaction score
1
Nimefuatilia kwa makini na kuona kwamba kama tunataka maendeleo ya haraka ni lazima serikali za mitaa zipewe uwezo wa kutatua kero nyingi zinazowakumba Wananchi.
Tunashuhudia barabara zinahitaji kufukiwa au kukarabati mashimo madogo tu lakini utashangaa mpaka mashimo yawe makubwa ndipo gharama kuubwa zitumike kukarabati wakati gharama kidogo tu zingetosha kwa vishimo vidogo. Ona mashimo haya yalivyokuwa mtaa wa swahili!
 

Attachments

  • 1442841279875.jpg
    1442841279875.jpg
    40.5 KB · Views: 97
  • 1442841366090.jpg
    1442841366090.jpg
    24.1 KB · Views: 84
Back
Top Bottom