Hii ni nyumba ya Gavana wa benki kuu kati ya nyumba mbili zilizo gharimu bilioni 5.7,ilizuwa manunguniko mengi kutoka kwa wananchi kutoka na gharama kubwa kupita kiasi.
Hivi Sita alikuwa anaishi hotelini au???
Ni kweli kabisa.Ubaya sio tu pesa zinazo chakachuliwa, pia inakatisha watu tamaa ya kufanya kazi kwa bidii kwa kuamini bila ufisadi hauwezi kufanikiwa.Inatia hasira kweli hapa sijui tataambiwa bilioni ngapi jmn,
kwa mtindo huuu wacha tubebe mabox tuu
Kama sijakosea aliishi hoteli kwa muda halafu wakamkodishi nyumba ya bei mbaya,Hii yote kwa sababu kuanzia juu mpaka chini kumeoza.Unajua kuna baadhi ya wizara kama mkuu akibadilishwa, huyo mpya ana nunua gari jipya hata kama lililokuwa linatumika alikununuliwa muda sio mrefu?Hivi Sita alikuwa anaishi hotelini au???
e bana nambie basi unabebea box lako wapi nije nikusaidie huko uliko,jua la bongo na politiko +ufisadi vimenichosha:A S crown-1:Inatia hasira kweli hapa sijui tataambiwa bilioni ngapi jmn,
kwa mtindo huuu wacha tubebe mabox tuu
mshasahau kwamba ni juzi tu hapa tulikua tunajadili juu ya mabilioni yaliyotumika kujenga jumba jipya lenye hadi ya spika sitta.?leo hii huyu mama nae anajengewa la kwake.mweeeehHivi Sita alikuwa anaishi hotelini au???
Msekwa anaishi nyumba zilizouzwa za serikali, Makinda hawezi kum replace humo.Msekwa na Sitta walikuwa wanaishi wapi?
e bana nambie basi unabebea box lako wapi nije nikusaidie huko uliko,jua la bongo na politiko +ufisadi vimenichosha:A S crown-1: