NGolo Kante
Member
- Feb 28, 2017
- 80
- 131
mkuu usiumize kichwa katika hiliKama hazikidhi viwango ni kwa nini walimpatia kibali kwa mara ya kwanza?
Tuna mamlaka uchwara sana hasa hawa TFDA na TBS.
Mfano, dawa za binadamu wanazipitisha wenyewe baadae wana kuja na ngojera kuwa hazifai kwa matumizi ya binadamu ili hali walizipitisha.
Mfano, tangazo la juzi la TFDA kuhusu dawa.
Watanzania wanaopata madhara kwa kuzitumia hizo bidhaa ambazo mlizipitisha wenyewe ila leo mnaleta ngojera kuwa hazifai mnawasaidiaje kuangalia afya zao kama hawajaathiriwa na bidhaa mlizozipitisha kwa mbwembwe!?
Acheni roho za korosho ili nchi isonge mbele hata kama mtu siyo chama tawala au muhindi.
Vyama vya siasa visiwe vigezo vya kupima viwango na ubora wa bidhaa na huduma.
mkuu usiumize kichwa katika hili
Ni uccm na uchdema ndio umeamua hili
Vyombo vyetu hupima kupitia wananchi wake. Yaani mkishatumia ndo tunajua vina madhara au lah!!!!!Kama hazikidhi viwango ni kwa nini walimpatia kibali kwa mara ya kwanza?