Serikali yazifungia rangi za midomo "Lipstick" za Wema Sepetu

NGolo Kante

Member
Feb 28, 2017
80
131
Serikali yafungia rangu za midomo za Mwanadada Wema Sepetu zinazojulikana kama "Kiss".

> Serikali imechukua uamuzi huo kwa kile kinachoeelezwa kuwa nimeshindwa kikidhi vigezo zilivyokuwa vinatakiwa.

> Kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA) pamoja Shirika la Viwango(TBS) imebainika kuwa rangi hizo za midomo zimegundulika kutokidhi kiwango cha kutumiwa na Mwanadamu.

======

Wema Sepetu's lipstick brand, aptly named 'Kiss', has been banned by the Tanzanian Government.

The famous actress, model and Diamond's ex-girlfriend launched the lipstick brand in 2015 on her 26th birthday where she also gifted herself with a Range Rover.

Reports indicate that the Tanzanian Government has now banned the product from its market for what it terms as failure to meet the necessary requirements.

It has been reported that prior to the ban, the product was off the shelves in various distribution stores in Dar es Salaam, a situation that saw the bongo movie A list actress reap generously from the investment.

According to the reports, the standard product watchdog in Tanzania TBS (an equivalent of Kenya's KEBS), and The Tanzania Foods and Drug Authority (TFDA) stopped the distribution of the lipstick saying that it had found out that it was unfit for human use.

- All Africa
 
Kama hazikidhi viwango ni kwa nini walimpatia kibali kwa mara ya kwanza?

Tuna mamlaka uchwara sana hasa hawa TFDA na TBS.

Mfano, dawa za binadamu wanazipitisha wenyewe baadae wana kuja na ngojera kuwa hazifai kwa matumizi ya binadamu ili hali walizipitisha.
Mfano, tangazo la juzi la TFDA kuhusu dawa.

Watanzania wanaopata madhara kwa kuzitumia hizo bidhaa ambazo mlizipitisha wenyewe ila leo mnaleta ngojera kuwa hazifai mnawasaidiaje kuangalia afya zao kama hawajaathiriwa na bidhaa mlizozipitisha kwa mbwembwe!?

Acheni roho za korosho ili nchi isonge mbele hata kama mtu siyo chama tawala au muhindi.

Vyama vya siasa visiwe vigezo vya kupima viwango na ubora wa bidhaa na huduma.
 
Mbna zimeuzwa huu mwaka wa pili na anakuja na nyingine zinaitwa liquidmatte mjipange maccm hamuwezi kumfelisha katu
 
Kama hazikidhi viwango ni kwa nini walimpatia kibali kwa mara ya kwanza?

Tuna mamlaka uchwara sana hasa hawa TFDA na TBS.

Mfano, dawa za binadamu wanazipitisha wenyewe baadae wana kuja na ngojera kuwa hazifai kwa matumizi ya binadamu ili hali walizipitisha.
Mfano, tangazo la juzi la TFDA kuhusu dawa.

Watanzania wanaopata madhara kwa kuzitumia hizo bidhaa ambazo mlizipitisha wenyewe ila leo mnaleta ngojera kuwa hazifai mnawasaidiaje kuangalia afya zao kama hawajaathiriwa na bidhaa mlizozipitisha kwa mbwembwe!?

Acheni roho za korosho ili nchi isonge mbele hata kama mtu siyo chama tawala au muhindi.

Vyama vya siasa visiwe vigezo vya kupima viwango na ubora wa bidhaa na huduma.
mkuu usiumize kichwa katika hili

Ni uccm na uchdema ndio umeamua hili
 
Kama hazikidhi viwango ni kwa nini walimpatia kibali kwa mara ya kwanza?

Tuna mamlaka uchwara sana hasa hawa TFDA na TBS.

Mfano, dawa za binadamu wanazipitisha wenyewe baadae wana kuja na ngojera kuwa hazifai kwa matumizi ya binadamu ili hali walizipitisha.
Mfano, tangazo la juzi la TFDA kuhusu dawa.

Watanzania wanaopata madhara kwa kuzitumia hizo bidhaa ambazo mlizipitisha wenyewe ila leo mnaleta ngojera kuwa hazifai mnawasaidiaje kuangalia afya zao kama hawajaathiriwa na bidhaa mlizozipitisha kwa mbwembwe!?

Acheni roho za korosho ili nchi isonge mbele hata kama mtu siyo chama tawala au muhindi.

Vyama vya siasa visiwe vigezo vya kupima viwango na ubora wa bidhaa na huduma.
Vyombo vyetu hupima kupitia wananchi wake. Yaani mkishatumia ndo tunajua vina madhara au lah!!!!!
 
Bado kidogo tutasikia movie zake hazina ubora atafungiwa kufanya movie tz ya viwanda wema usikate tamaa vita ni vita muraaaah
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom