Ni hii hii Serikali yenye kushindwa kuendesha hata TANESCO na kuongeza bei ya umeme, ndio ina ubavu huo wa kuongeza Tsh 50,000/= kwa kila mwalimu?
-Pesa imetoka katika Bajeti gani?
-Kwanini hiyo pesa iongezwe sasa hivi?
-Kwanini iongezwe kwa kada/ taaluma moja tu?