johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,125
Koro show veepe?Naibu waziri wa kilimo mh Omari Mgumba amewaomba radhi wakulima wa kahawa wilayani Tarime kwa kucheleweshewa malipo. Waziri Mgumba amesema uzembe huo haukufanywa na serikali ndio maana yeye ameitikia wito wa mbunge wao mh Heche na kuja kuzungumza nao kwani maendeleo hayana vyama.
Waziri Mgumba amewahakikishia wakulima hao kuwa watalipwa fedha zao asap.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!!!!!
Tarime hakuna korosho.... Umekariri!
Naibu waziri wa kilimo mh Omari Mgumba amewaomba radhi wakulima wa kahawa wilayani Tarime kwa kucheleweshewa malipo. Waziri Mgumba amesema uzembe huo haukufanywa na serikali ndio maana yeye ameitikia wito wa mbunge wao mh Heche na kuja kuzungumza nao kwani maendeleo hayana vyama.
Waziri Mgumba amewahakikishia wakulima hao kuwa watalipwa fedha zao asap.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!!!!!
Nasubiri Jiwe kicha afanye hivyo kule Ntwara na Lindi kuhusu Koroshow. Na aseme kuwa ni Wanajeshi wamefanya madudu hayo
Huyo ndo kiongozi siyo unakuwa mwongomwongo
Tarime hakuna korosho.... Umekariri!
Hatuhitaji magoti kure kweitu Tarime muraa. Ni chimbirya tuikutuna baaaasi. Tupe hiso hera setu maneno mpelekee ariyekutuma
Mnajidai kuomba msamaha kwakuwa mnajua uchaguzi umekaribia
Lindi na Mtwara mbunge wao ni John Heche?!Umesema amewaomba radhi (wakulima) na lindi na mtwara kuna wakulima wa korosho
In God we trust