johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 82,750
- 139,549
Naibu waziri wa kilimo mh Omari Mgumba amewaomba radhi wakulima wa kahawa wilayani Tarime kwa kucheleweshewa malipo. Waziri Mgumba amesema uzembe huo haukufanywa na serikali ndio maana yeye ameitikia wito wa mbunge wao mh Heche na kuja kuzungumza nao kwani maendeleo hayana vyama.
Waziri Mgumba amewahakikishia wakulima hao kuwa watalipwa fedha zao asap.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!!!!!
Waziri Mgumba amewahakikishia wakulima hao kuwa watalipwa fedha zao asap.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!!!!!